Senegal (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
}}
 
'''Mto wa Senegal''' ni kati ya mito mirefu ya [[Afrika]] ukiwa na urefu wa kilometa 2272 pamoja na [[tawimto]] mrefu wa [[Bafing]].
Mto Senegal mwenyewewenyewe unaanza karibu na mji wa Bafoulabe ([[Mali]]) kwenye maungano ya mito miwili ya Bafing na [[Bakoye]] ambayo yote ina chanzo huko [[Guinea]].
 
MwendoUrefu wa mto Senegal ni mpaka kati ya [[Mauretania]] na [[Senegal]]. Senegal ikikaribia [[bahari ya Atlantiki]] inafika kwenye kisiwa cha [[St. Louis]] halafu inageukia kusini. Sasa inafuata pwani la bahari ikitengwa na Atlantiki kwa kanda nyembamba ya mchanga tu hadi kuingia kabisabahari ya Atlantiki.
 
Beseni ya Senegal ni kilometa za mraba 483,181 km². Tawimito muhimu ni [[Faleme]], [[Karakoro]] na [[Gorgol]].
 
Mali, Mauritania, Senegal na Guinea zimeshirikiana katika mamlaka ya beseni ya mto wa Senegal (Organisation pour la mise en valeur du fleuve Sénégal - OMVS).