Christus Dominus : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
lugha ieleweke hata kwa wasio wakatoliki |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Christus Dominus'''
Baada ya kufundisha juu ya daraja
*ngazi ya kanisa katoliki duniani
*ngazi ya jimbo (dayosisi)
*uhusiano kati ya maaskofu
Kwanza kila [[askofu]] atazamiwa kuwa kiungo cha [[kundi la maaskofu]] ambalo linaongozwa na askofu wa [[Roma]] na kuwajibika kulichunga Kanisa zima. Wajibu huo unatimizwa kwa kushiriki katika [[mtaguso mkuu]], ambako ni haki ya maaskofu wote, kuchangia muundo mpya wa [[sinodi ya maaskofu]], kushughulikia kwa hali na mali [[misheni]] na majimbo yasiyo na mapadri au mali za kutosha, kuwaombea maaskofu wafungwa na wanaodhulumiwa, kuchangia katika ofisi za [[papa]].
|