Tofauti kati ya marekesbisho "Bamba la Karibi"

1 byte added ,  miaka 15 iliyopita
sahihisho ndogo
 
(sahihisho ndogo)
[[Image:Bamba la Karibi.png|thumb|250px|Bamba la Karibi]]
[[Image:Volkeno za Karibi.PNG|thumb|250px|Volkeno za Karibi]]
'''Bamba la Karibi''' ni kati ya [[bamba la gandunia]] lililopo chini ya [[Amerika ya Kati]] na [[Bahari ya Karibi]]. Limepakana na mabamba ya [[Amerika ya Kaskazini]], [[Amerika ya Kusini]] na [[bamba la Nazi|Nazi]] (Cocos Plate). Eneo lake ni takriban milioni 3.2 [[km²]].
 
Mipaka yake na mabamba mengine ni mahali pa matetemeko ya ardhi na milipuko ya volkeno.