Korintho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|150px|Mahali pa Korintho '''Korintho''' (Kigir.: '''Κόρινθος''' ''Kórinthos'') ni mji wa Ugiriki wa Kusini. Iko kwenye shingo la nchi la Korint...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Corinth map.png|thumb|150px|Mahali pa Korintho]]
'''Korintho''' ([[Kigir.]]: '''Κόρινθος''' ''Kórinthos'') ni mji wa [[Ugiriki]] waya Kusini. Iko kwenye shingo la nchi la Korinth linalounganisha rasi ya [[Peloponesi]] na Ugiriki bara.
 
Siku hizi ni mji mdogo tu mwenye wakazi 36,555 lakini ina historia kubwa na ndefu. Kimataifa Korintho inajulikana kutokana na [[mfereji wa Korintho]] unaokata shingo la nchi kwa urefu wa kilomita sita na kufupisha safari kutoka [[Adria]] kuingia [[Mediteranea]] ya mashariki kwa meli ndogo na za wastani.