Kidachi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kidachi''' ni Kiswahili cha zamani kinachosikika hadi leo katika sehemu za Tanzania kwa ajili ya lugha ya [[Kijerumani]] au tabia za [[Ujerumani|Wajerumani]]. Neno limetokana na neno "Deutsch" (tamka: doitsh) ambalo ni jinsi Wajerumani wenyewe wanajiita.
 
Kidachi, Mdachi/ Wadachi na Udachi zilikuwa Kiswahili cha kawaida kutokana na utawala wa Kijerumani katika [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]].