Chamchanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hu:Tringa, it:Tringa
Nyongeza picha
Mstari 14:
''[[Xenus]]'' <small>[[Johann Jakob Kaup|Kaup]], 1829</small>
}}
'''Chamchanga''' ni [[ndege]] wa [[jenasi]] mbalimbali katika [[familia]] ya [[Scolopacidae]]. '''[[Chamchanga tumbo-jeupe''']] huitwa [[kiulimazi]] kwa kawaida. Ndege hawa ni weusi au kahawia na weupe, na wana domo refu na miguu mirefu na myembamba. Huonekana kandi ya bahari, viziwa au mito ambapo hukamata [[mdudu|wadudu]], [[gegereka]] hata [[samaki]] wadogo. Hutaga mayai 3-5 chini mahali majimaji.
 
==Spishi za Afrika==
Mstari 49:
<gallery>
Image:Actitis-macularia-005.jpg|Spotted sandpiper
Image:Grey Tailed Tattler.jpg|Grey-tailed tattler
Image:Yellowlegs - natures pics.jpg|Lesser yellowlegs
Image:Wandering Tattler.jpg|Wandering tattler
Image:Tringa melanoleuca1.jpg|Greater yellowlegs
Image:Catoptrophorus-semipalmatus-001.jpg|Willet