Waraka wa Yakobo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
viungo
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
 
Kitabu hiki cha [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] labda kiliandikwa miaka ya 80 [[B.K.]] kikitumia jina la Yakobo, lakini wataalamu hawapatani kuhusu huyo ni nani, aliandika wapi na lini.
 
Line 6 ⟶ 8:
 
Lengo lingine ni kuwakuza mafukara na kuwakemea matajiri, kadiri ya mwelekeo wa [[Kanisa]] la [[Yerusalemu]] (Yak 1:1-2:26; 4:1-5:6).
 
 
==Kiungo cha nje==
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
 
[[Category:Vitabu vya Agano Jipya|Yak]]