Waraka wa Yuda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
viungo
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
 
Hiki ni kitabu kimojawapo cha [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]].
 
Line 4 ⟶ 6:
 
Ujumbe ni kujihadhari na wazushi wanaobunibuni mafundisho mapya badala ya kushika [[imani]] ile iliyofunuliwa mara moja na ikatosha; ujumbe huo ulitolewa kwa kuwatukana na kuwalaani wazushi hao (Yuda 1-4, 17-25).
 
 
==Kiungo cha nje==
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
 
[[Category:Vitabu vya Agano Jipya|Yud]]