Ethiopia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 277:
 
== Michezo ==
Ethiopia ni nchi moja wapo inayotoa wanamchezo wazuri zaidi Duniani, hasa kama wa kimbiaji wa [[masafa ya kati]] na [[masafa marefu]]. [[Kenya]] na [[Morocco]] ni wapinzani wa Ethiopia kwa [[Mabingwa wa Dunia]] na [[Michezo ya olimpiki|Olimpiki]] kwa masafa ya kati na marefu. Machi 2006, Waithiopia wawili walitamalaki mbio za masafa marefu, kwajinakwa jina wakiwa: [[Haile Gebreselassie]] (Bingwa wa Dunia na Olimpiki) alie[[vunja rekodi]] 10 na sasa pia kilomita 20, nusu [[Marathoni| mbio za masafa marefu]], na rekodi ya kilomita 25, na kijana [[Kenenisa Bekele]] (bigwa wa, Dunia, mbio za majira (bara) , na pia bigwa wa olimpiki), anaye shikilia 5,000m na 10,000m [[Rekodi za Dunia]]. Huko nyuma Ethiopia ilitoa mwanariadha maarufu katika historia ya mchezo huu duniani, [[Abebe Bikila]].
 
== Vifungu kiwazowazo ==