Mwanzo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 27:
|-
|style="font-size: 1.0em;" bgcolor="#F7F5D3" |
<h3 style="font-size:150%"><em style="color:orange;font-style:normal">•</em>'''Makala maalum:''' <br><center>'''[[
[[Image:
'''Ernesto Rafael Guevara de la Serna''' au '''Che Guevara''' (* [[14. Mei]] [[1928]] [[Rosario]], [[Argentina]]; † [[9. Oktoba]] [[1967]] [[La Higuera]], [[Bolivia]]) alikuwa mtabibu mzaliwa wa [[Argentina]] aliyekuwa mfuasi wa itikadi za [[Kisoshalisti]] za [[Karl Marx]]. Guevara anajulikana zaidi kwa harakati zake za kimapinduzi dhidi ya tawala za kibepari huko [[Amerika ya Kusini]] na [[Afrika]].
Wakati akisomea utabibu, Che Guevara alizunguka katika nchi mbalimbali za Marekani ya Kusini ambapo alijionea mwenyewe umasikini uliokithiri. Alisikitishwa sana na maisha ya ufukara waliokuwa wakiishi wananchi wengi huku wachache wakiwa wanamiliki mali za nchi hizo. Alifikiria jinsi ya kuweza kubadili hali hii na kuamua kuwa njia pekee ya kuondoa umasikini na ukandamizaji ni mapinduzi. Aliamua kusoma kwa undani falsafa za Karl Marx na baada ya hapo alijihusisha na harakati za kisoshalisti nchini [[Guatemala]] chini ya rais [[Jacobo Arbenzi Guzmán]].
Mwisho mwa miaka ya 1950, Guevara aliungana na [[Fidel Castro]] aliyekuwa akiongoza kundi la kijeshi lililotwaa madaraka kwa nguvu nchini [[Kuba]] mwaka 1959. Guevara alikuwa mmoja wa viongozi wa serikali mpya ya Kuba. Katika kipindi hiki, Guevara aliandika vitabu na makala mbalimbali kuhusu nadharia na vitendo vya vita vya msituni kwa nia ya kuondoa madarakani tawala za kibepari na kibeberu.
*[[Che Guevara|Soma zaidi kuhusu Che Guevara]].
<h3 style="font-size:100%"><em style="color:orange;font-style:normal">•</em>'''Ujenzi'''</h3>
[[Ujenzi]] -
|