Eneo la kudhaminiwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: [[Image:LN_Mandate_Map1.png|thumb|300px|'''Maeneo ya kudhaminiwa''' <br> 1 Syria (Ufaransa) - 2 Lebanon (Ufaransa) – 3 Palestina (Uingereza) – 4 Ng’ambo ya Yordani (Uingereza) - ...
 
Mstari 62:
[[Category:Historia]]
[[Category:Ukoloni]]
 
[[de:Treuhandgebiet]]
[[en:United Nations Trust Territories]]
[[es:Fideicomiso de Naciones Unidas]]
[[it:Amministrazione fiduciaria delle Nazioni Unite]]
[[ja:信託統治]]
[[pl:Terytorium powiernicze ONZ]]
[[pt:Protectorado das Nações Unidas]]
 
===Maeneo ya kudhaminiwa ya kundi C)===
Line 94 ⟶ 86:
 
Mwaka 1951 serikali ya kikoloni iliwafukuza wakazi wa kijiji cha Engare Nanyuki katika nchi ya Wameru kwa sababu ilipanga kuanzisha mashamba kwa walowezi. Wameru walituma wawakilishi New York waliolalamika mbele ya Umoja wa Mataifa. Sehemu kubwa ya wanachama wa UM walisimama upande wa Wameru; upinzani huu ulikuwa athari muhimu katika maazimio ya Waingereza kutopanusha mno mashamba ya wazungu katika Tanganyika.
 
[[ca:Territoris fideïcomissaris]]
[[de:Treuhandgebiet]]
[[en:United Nations Trust Territories]]
[[es:Fideicomiso de Naciones Unidas]]
[[it:Amministrazione fiduciaria delle Nazioni Unite]]
[[ja:信託統治]]
[[pl:Terytorium powiernicze ONZ]]
[[pt:Protectorado das Nações Unidas]]