Muziki wa hip hop : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
waamerika weusi
No edit summary
Mstari 1:
'''Muziki wa hip hop''' ni aina ya muziki ulioanza kunako miaka ya 1970, ukiwa umeanzishwa na [[WaamerikaWamarekani weusi]] katika miji mikubwa ya [[Marekani]]. Hip hop mara nyingi inatumia staili moja ya [[kuimba]] iitwayo [[kurap]] au kufokafoka.
 
Kurap ni staili ya uimbaji ambayo [[mwimbaji]] anatoa au anaimba maneno-mashairi yaambatanayo na [[vina]]. Mashairi mengi yaliyoimbwa katika muziki wa hip hop yalikuwa yakizungumzia maisha halisi ya watu weusi wa nchini [[Marekani]], sanasana katika miji mikubwa.