Tofauti kati ya marekesbisho "Britania"

33 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
kiungo
No edit summary
(kiungo)
Jina la Britania limetokana na [[Dola la Roma|Waroma wa Kale]] waliovamia kisiwa na kufanya sehemu ya kusini kuwa jimbo la dola lao. Jimbo la [[Britania ya Kiroma]] liliunganisha nchi za Uingereza na Welisi za leo.
 
Leo kuna nchi tatu katika Britania ndizo [[Uingereza]], [[Welisi]] na [[Uskoti]]. Zote ni sehemu ya [[Ufalme wa Maungano]]. Lakini ufalme huu ni kubwa kushinda Britania, uko pamoja na [[Ueire ya Kaskazini]], visiwa vya [[Hebridi]], [[Orkney]] na [[Shetland]], halafu [[eneo la ng'ambo la Uingereza|maeneo ya ng'ambo]]. Hizi zote si sehemu ya Britania lakini ziko pamoja katika Ufalme wa Maungano.
 
Visiwa katika mfereji wa Kiingereza na kisiwa cha Isle of Man viko chini ya malkia au mfalme wa Uingereza lakini si sehemu za Ufalme wa Maungano.