Tofauti kati ya marekesbisho "Samueli I"

558 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
(New page: '''Kitabu cha kwanza cha Samuli''' kilikuwa sehemu ya kwanza ya Kitabu cha Samueli katika Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa w...)
 
'''Kitabu cha kwanza cha SamuliSamueli''' kilikuwa sehemu ya kwanza ya Kitabu cha [[Samueli]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake.
 
Kuanzia tafsiri ya kwanza (ya [[Kigiriki]]) inayojulikana kama [[Septuaginta]] na katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia]] ya [[Ukristo]] kinahesabiwa kama kitabu kinachojitegemea.
Hata hivyo mada yake na ya Kitabu cha pili ni moja: kueleza habari za mwanzo wa ufalme wa [[Israeli]] chini ya Samueli aliyewapaka mafuta wawe wafalme [[Sauli]] halafu [[Daudi]].
 
Kwa habari zaidi tazama [[Vitabu vya SamueliSamweli]].
 
{{Biblia AK}}
 
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
 
[[an:I Samuel]]
[[cs:1. kniha Samuelova]]
[[da:Første Samuelsbog]]
[[de:1. Buch Samuel]]
[[el:Α' Βασιλειών]]
[[eo:1-a libro de Samuel]]
[[es:I Samuel]]
[[fi:Ensimmäinen Samuelin kirja]]
[[fr:Premier livre de Samuel]]
[[gd:1 Samuel]]
[[gl:I Samuel]]
[[hr:Prva knjiga o Samuelu]]
[[id:Kitab 1 Samuel]]
[[jv:I Samuel]]
[[la:Liber I Samuelis]]
[[pl:1 Księga Samuela]]
[[pt:I Samuel]]
[[ru:Книга Царств]]
[[scn:1 Samueli]]
[[sm:O le tusi muamua Samuelu]]
[[sv:Första Samuelsboken]]