Ngome ya Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 3:
[[Image:Fort Jesus, Mombasa2.JPG|thumb|Maghofu]]
 
'''Boma la Yesu''' (Kiing.: '''Fort Jesus''') ni [[ngome]] la kale mjini [[Mombasa]] ([[Kenya]]). LililijengwaLilijengwa mwaka [[1593]] na [[msanifu]] [Giovanni Battista Cairato]] kwa niaba ya [[Ureno|Wareno]]. Ngome iko kwenye kisiwa cha Mombasa ikitazama mlango wa bandari ya kale.
 
Ilikuwa kituo muhimu cha Wareno kwenye njiaynjia aya mawasiliano kati ya Ureno na [[Uhindi]].
 
== Historia ya ngome ==
Mstari 22:
Baada ya Wareno utawala wa ngome ulipiganiwa kati ya Sultani wa Omani na ma[[liwali]] wa Mombasa wa nasaba ya Mazrui waliojaribu kuendelea bila mabwana wa Omani.
 
*[[Sultani]] wa Oman: 1729 - 1741
*[[Liwali]] wa Mombasa: 1741 - 1747
*Sultani wa Oman: 1747
*Liwali wa Mombasa: 1747 - 1828
Mstari 31:
*Sultani wa Oman: 1837 - 1856
 
1856 Mombasa pamoja na Boma la Yesu ilikuwa sehemu ya [[usultani wa Zanzibar]]
*Zanzibar: 1856 - 1895
**Uasi wa kijeshi na kurudishwa chini ya Zanzibar kwa msaada wa Uingereza: 1875