Jamhuri ya Watu wa Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sq:Zanzibari
No edit summary
Mstari 45:
Biashara ya Zanzibar ni kilimo na utalii. Mazao yanayouzwa nje ni hasa [[karafuu]], [[basibasi]], [[mdalasini]] na [[pilipili]].
 
Jamhuri ya watu wa Zanzibar ilianzishwa baada ya mapinduzi ya 1964 iliyomaliza [[Usultani wa Zanzibar]]. Rais wa kwanza alikuwa [[Abeid Amani Karume]] hadi 1972 aliyefuatwa na [[Aboud Jumbe]] (1972-1984). Rais wa tatu aliyemfuata alikuwa [[Ali Hassan Mwinyi]] (1984-1995) aliyeendelea kuwa pia rais wa Tanzania tangu 1985.
 
Rais wa sasa ni [[Amani Abeid Karume]] ambaye ni mwana wa rais wa kwanza.
 
==Viuongo vya nje==