Chamchanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Spishi kutoka mabara mengine mpaka Afrika
dNo edit summary
Mstari 14:
''[[Xenus]]'' <small>[[Johann Jakob Kaup|Kaup]], 1829</small>
}}
'''Chamchanga''' ni [[ndege]] wa [[jenasi]] mbalimbali katika [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Scolopacidae]]. [[Chamchanga tumbo-jeupe]] huitwa [[kiulimazi]] kwa kawaida. Ndege hawa ni weusi au kahawia na weupe, na wana domo refu na miguu mirefu na myembamba. Huonekana kandi ya bahari, viziwa au mito ambapo hukamata [[mdudu|wadudu]], [[gegereka]] hata [[samaki]] wadogo. Hutaga mayai 3-5 chini mahali majimaji.
 
==Spishi za Afrika==
* ''Actitis hypoleucos'', Chamchanga Tumbo-jeupe au [[Kiulimazi]] ([[w:Common Sandpiper|Common Sandpiper]])
* ''Tringa erythropus'', [[Chamchanga Madoa]] ([[w:Spotted Redshank|Spotted Redshank]])
* ''Tringa flavipes'', [[Chamchanga miguuMiguu-njano]] ([[w:Lesser Yellowlegs|Lesser Yellowlegs]])
* ''Tringa glareola'', [[Chamchanga-mtoni]] ([[w:Wood Sandpiper|Wood Sandpiper]])
* ''Tringa nebularia'', [[Chamchanga Miguu-kijani]] ([[w:Common Greenshank|Common Greenshank]])
Mstari 25:
* ''Tringa stagnatilis'', [[Chamchanga-wangwa]] ([[w:Marsh Sandpiper|Marsh Sandpiper]])
* ''Tringa totanus'', [[Chamchanga Miguu-hina]] ([[w:Common Redshank|Common Redshank]])
* ''Xenus cinereus'', [[Chamchanga kijivuKijivu]] ([[w:Terek Sandpiper|Terek Sandpiper]])
 
==Spishi za mabara mengine==