Planktoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
 
Wataalamu wanatofautiisha aina tatu:
* Phytoplanktoni au '''planktoni mimea''' ni hasa aina za mwani ndogondogo inayoelea karibu na uso wa maji. Inatumia nuru ya jua kwa njia ya [[usanisinuru]] pamoja na [[madini]] ndani ya maji.
* Zooplanktoni au '''planktoni wanyama''' ambayo ni [[uduvi]] wadogowadogo wenye ukubwa chini ya [[milimita]] hadi [[sentimita]] mbili na pia [[mayavuyavu]].
* Bakterioplanktoni au '''planktoni bakteria''' ambayo ni [[bakteria]] na [[archaea]] zinazooishi pamoja na planktoni nyingine
 
Planktoni ni chanzo cha [[mitando chakula]] majini; planktoni mimea ni chanzo chake kabisa na aina nyingine za planktoni wanatumia mimea hii kama chakula chao.