Kanga (ndege) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: simple:Guineafowl
dNo edit summary
Mstari 15:
''[[Numida]]'' <small>[[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1766</small>
}}
'''Kanga''' ni [[ndege]] wa [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Numididae]]. Jina hili ni jina la kawaida la ndege hawa, lakini spishi za [[Afrika ya Mashariki]] wana majina mengine kama [[chepeo]], [[kororo]] na [[kicheleko]] (tazama orodha ya spishi). Kanga ni wakubwa kuliko [[kwale (ndege)|kwale]] na wana rangi nyeusi na madoa meupe. Kichwa chao hakina manyoya lakini spishi tatu zina manyoya juu ya utosi. Kanga mweusi na kanga kidari-cheupe hawajulikani sana, lakini mwenendo wao unasadikiwa kufanana na ule wa spishi nyingine. Hula mbegu, [[mdudu|wadudu]], [[koa|makoa]] na [[nyungunyungu]], na hutaga mayai ardhini. Kanga huwa mwenzi mmoja tu maisha yao yote.
 
Spishi zote zinatokea [[Afrika]]. Chepeo hufugwa hususa huko [[Afrika ya Magharibi]] na pia katika [[Ulaya]] na [[Marekani]].