Chura : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
Maisha ya chura inaanza kama yai lililotegwa kwenye maji pamoja na mayai maelfu. Anatoka kwa umbo la [[ndumbwi]] (pia: kiluwiluwi) ambayo ni [[funzo]] ya chura anaendelea na kipindi cha kwanza cha maisha yake katika maji. Anapumua kwa [[yavuyavu]] na mwanzoni hana miguu bali [[mapezi]] kama [[samaki]] na mkia. Viluwiluwi wengi wakiwa kwenye maji wanakula majani au mwani hata kama baadaye kama chura mzima wanakula wanyama wengine.
Baada ya muda kiluwiluwi anakuza miguu minne na mapavu[[mapafu]]. Utumbo unabadilika na kujiandaa kwa chakula kipya kinachopatikana kwenye nchi kavu.
Umbo linaelekea kufanana zaidi na zaidi chura mzima.