Korongo (Ciconiidae) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mabadiliko picha
dNo edit summary
Mstari 13:
| jenasi = Angalia katiba
}}
'''Makorongo''' hawa ni [[ndege]] wa [[familia (biolojia)|familia]] ya '''[[Ciconiidae''']] wenye domo refu na nononene ([[korongo (Gruidae)|makorongo]] wa familia ya '''Gruidae''' wana domo fupi na jembamba zaidi). Mabawa yao ni marefu sana, yale ya [[korongo mfuko-shingo]] au [[marabu]] yana 3.2 m: marefu kuliko yale ya ndege wote ghairi ya [[tumbusi]] wa Andes ([[w:Andean Condor|Andean condor]]).
 
[[Spishi]] nyingine huishi mahali pa majimaji nyingine mahali pakavu. Hula [[chura|vyura]], [[samaki]], [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]], hata ndege na [[mnyama|wanyama]] wadogo. Korongo hawa hawawezi kutoa sauti. Lakini kwa tago hupiga kelele na domo yao.