Ncha ya kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sah:Хоту полюс
No edit summary
Mstari 15:
Usiku na mchana ina muda wa nusu [[mwaka]]. Macheo ya pekee hutokea kila mwaka tar. [[21 Machi]] na mchana unaendelea hadi 23 Septemba siku ya machweo. Jua halizami kabisa katika muda huo. Kinachofuata ni machweo na mwanga wa utusiutusi wa wiki kadhaa hadi giza imeanza kabisa inayoendelea hadi Machi.
 
Kufuatana na mabadiliko[[kupanda yakwa hali ya hewahalijoto duniani]] barafu nchani imeanza kuyeyuka. Wataalamu wengine huamini ya kwamba kuna uwezekano itapotea kabisa katika [[karne]] ijayo.
==Ncha sumaku ya kaskazini==