Baraza la Kiswahili la Taifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
Baraza liliundwa na sheria ya bunge Na. 27 ya mwaka 1967 kwa shabaha ya kukuza,kuimarisha na kuendeleza [[Kiswahili]] hasa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika marekebisho ya sheria hiyo yaliyofanyika mwaka 1983 kwa Sheria ya Bunge Na. 7, BAKITA limepewa uwezo wa kufuatilia na kusaidia ukuzaji wa Kiswahili katika nchi za nje pia.
 
Pamoja na Chama cha Kiswahili cha Taifa ([[CHAKITA]]) cha Kenyana wawakilishi kutoka Uganda BAKITA imeunda Baraza la Kiswahili la Afrika Mashariki ([[BAKAMA]]).
 
==Viungo vya Nje==
[http://www.moe.go.tz/culture/Bakitas.htm Habari za serikali kuhusu BAKITA]