Ifakara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Mji uko katika bonde la [[mto Kilombero]] takriban kilomita 420 kusini-magharibi ya [[Dar es Salaam]]. Taasisi muhimu mjini ni Taasisi ya Afya Ifakara (Ifakara Health Institute) inayofanya uchunguzi wa kisayansi wa magonjwa kama [[malaria]] na [[ukimwi]]. [[Kanisa katoliki]] inaendesha [[hospitali]] ya St Francis inayotarajiwa kuwa hospitali ya wilaya pamoja na chuo cha wauguzi.
 
==Picha za Ifakara==
 
<gallery>
Image:Ifakara kanisa katoliki St. Andrew.jpg|Kanisa katoliki la Mt. Andreas Ifakara