Musoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
New page: '''Musoma''' ni mji wa Tanzania ya kaskazini uliopo kando la mashariki la Ziwa Viktoria Nyanza karibu na mpaka wa Kenya. Ni makao makuu ya Mkoa wa Mara na [[wilaya ya Musom... |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 21:19, 29 Januari 2009
Musoma ni mji wa Tanzania ya kaskazini uliopo kando la mashariki la Ziwa Viktoria Nyanza karibu na mpaka wa Kenya. Ni makao makuu ya Mkoa wa Mara na wilaya ya Musoma mjini. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 108,242 [1].
Marejeo na Viungo vya Nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Musoma (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |
Kata za Wilaya ya Musoma Mjini - Mkoa wa Mara - Tanzania | ||
---|---|---|
Buhare | Bweri | Iringo | Kamunyonge | Kigera | Kitaji | Kwangwa | Makoko | Mshikamano | Mukendo | Mwigobero | Mwisenge | Nyakato | Nyamatare | Nyasho | Rwamlimi |