Mkoa wa Manyara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
==Wakazi==
Jumla ya wakazi mkoani ilikuwa 1,040,461.[http://www.tanzania.go.tz/census/census/manyara.htm Sensa ya 2002]
Idadi imepatika katika wilaya zifuatazo (idadi ya wakazi katika mabano): [[Babati]] (303,013), [[Hanang]] (205,133), [[Mbulu]] (237,882), [[Simanjiro]] (141,676) na [[Kiteto]] (152,757)
 
Wenyeji wa mkoa huu ni pamoja na Wairaq, Wamasai, Wambulu na Wabarbaiq wakijihusisha na shughuli za kilimo na ufugaji kama njia ya kuingiza kipato chao cha kila siku.
 
Mkoa huu unayo majimbo ya uchaguzi yanayofikia (5) ambayo yanajumuisha majimbo ya, Babati, Kiteto, Hanang, Mbulu na Simanjiro.
 
==Wilaya==
[[Image:TZ Manyara wilaya.gif|thumb|left|175px|Wilaya za Mkoa wa Manyara]]
 
Kuna wilaya zifuatazo: [[Wilaya ya Mbulu|Mbulu]], [[Wilaya ya Babati|Babati]], [[Wilaya ya Hanang|Hanang]], [[Wilaya ya Simanjiro|Simanjiro]] and [[Wilaya ya Kiteto|Kiteto]].
 
==Viungo vya nje==