Mkoa wa Morogoro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
Karibu nusu ya eneo la Mkoa wa Morogoro ni hifadhi za wanyama za [[Mikumi]], [[Udzungwa]] na [[Selous]].
 
===Wakazi===
Kabila kubwa ni [[Waluguru]] waliotoa jina kwa mji wa Morogoro pamoja na milima ya Uluguru. Makabila mengine makubwa zaidi ni Wangulu, Wakagulu, Wasagala na Wapogolo.
 
===Mawasiliano===
Barabara Kuu za lami za [[Daressalaam]] - Morogoro - [[Mbeya]] - [[Zambia]]/[[Malawi]] na Daressalaam - Morogoro - [[Dodoma]] hupita eneo la mkoa pamoja na [[reli ya kati]] Daresalaam - Morogoro - Dodoma - [[Kigoma]] / [[Mwanza]]. Reli ya [[TAZARA]] hupita wilaya ya Kilombero.
 
===Uchumi===
Kilimo kinategemea hali ya mvua. Kilombero kuna mashamba makubwa ya miwa. Mazao ya sokoni hulimwa milimani. Katibu nusu ya eneo la mashamba yote hulimwa mahindi.