Gesi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: nap:Ggas
No edit summary
Mstari 3:
[[Image:Teilchenmodell Fluessigkeit.png|thumb|180px|Atomi au molekyuli katika hali kiowevu]]
 
'''Gesi''' ni moja kati ya [[hali maada]]. Katika hali ya gesi [[atomi]] hazishikwihazishikani pamoja kama gimba mango bali zaelea kwa mwendo huria.
 
Atomi na molekuli za gesi huelekea kusambaa na kukalia nafasi yote ambamo imewekwa. Gesi haina umbo wala mjao kamili. Inawezekana pia kukaza gesi kwa mfano ndani ya chombo na kupunguza mjao kwa njia hii.