Mkoa wa Singida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ro:Singida
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tanzania Singida.png|320px|thumbnail|Mkoa wa Singida]]
 
'''Singida''' iko kati ya mikoa 26 za [[Tanzania]] ikipakana na mikoa ya [[Arusha]], [[Dodoma]], [[Iringa]], [[Mbeya]], [[Tabora]] na [[Shinyanga]].

Kuna wilaya nne za [[Iramba]], [[wilaya ya Manyoni|Manyoni]], [[Singida Vijijini]] and [[Singida Mjini]]. Jumla ya wakazi ni mnamo milioni moja.
 
Singida ni kati ya maeneo maskini zaidi ya Tanzania. Uchumi wake ni hasa ufugaji, idadi ya ng´ombe hukadiriwa kuwa mnamo milioni 1.4. Masoko hayako karibu barabara si nzuri. Kilimo si nzuri kwa sababu ya hali ya mvua. Ukame huleta njaa. Singida ni kati ya mikoa inayotegemea misaada ya chakula.