Tofauti kati ya marekesbisho "Kwale (ndege)"

76 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
(Nyongeza picha)
<sup>''Kwa maana mengine ya jina hili angalia [[Kwale|hapa]]''</sup>
{{Uainishaji
| rangi = pink
| spishi = Angalia katiba
}}
 
'''Kwale''' ni [[ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Francolinus]]'' na ''[[Xenoperdix]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Phasianidae]]. [[Spishi]] nne za ''Francolinus'' ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa [[kereng'ende (ndege)|kereng'ende]] pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni [[mbegu]], [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]]. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.
 
Karibu spishi zote zinatokea [[Afrika]] lakini spishi tano zinatokea [[Asia]].
Anonymous user