Jimbo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Jimbo]] ni
Majimbo huwa na madaraka mbalimbali, na
Mara nyingi jimbo ni eneo lenye kiwango kikubwa cha kujitawala hasa majimbo ndani ya muundo wa [[shirikisho]]; mifano michache tu ni majimbo ya [[Afrika Kusini]], [[Nigeria]], [[Marekani]] au [[Ujerumani]].
Vilevile ndani ya Kanisa jina linatumiwa tofauti na [[madhehebu]].
Katika ushirika wa [[Anglikana]] ni jumla ya majimbo kadhaa inayojitegemea (kwa mfano Jimbo la Tanzania linaunganisha [[dayosisi]] zote na nchi hiyo).
▲Wakati mwingine "jimbo" ni jina la kihistoria tu hata pasipo madaraka ya kiutawala tena.
[[Kanisa Katoliki]] linatumia neno jimbo kwa maana ya [[dayosisi]].
Kumbe kwa [[Walutheri]] jimbo ni sehemu tu ya dayosisi, ingawa inajumuisha sharika kadhaa.
[[Category: Ugawaji wa nchi]]
[[Category:Ukristo]]
{{mbegu}}
|