Afyuni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'thumb||Kidonge cha afyuni bichi '''Afyuni''' ni dawa asilia inayopatikana kutokana na utomvi uliokauka wa maua aina ya mpopi (Papaver somniferum - Kiing.…'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Dateipicha:Opium9.jpg|thumb||Kidonge cha afyuni bichi]]
'''Afyuni''' ni dawa asilia inayopatikana kutokana na utomvi uliokauka wa maua aina ya [[mpopi]] (Papaver somniferum - Kiing.opium poppy). Ndani yake kuna kemikali mbalimbali ambazo ni kati ya madawa makali kabisa yenye uwezo wa kutuliza maumivu lakini zinasababisha pia ulevi unaozoesha watu haraka na kuwafanya wasiweze kuacha ulevi huu.