Mpopi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14:
}}
 
'''Mpopi''' ''(kutoka [[Kiing.]] "poppy"; jina la kitaalamu: Papaver somniferum)'' ni mmea yenye asili katika nchi za [[Mashariki ya Kati]]. Inakua hadi urefu wa mita 1 ikiwa na maua nyeupe, njano na mara nyingi mekundu. Mpopi ni asili ya [[madawa ya kulevya]] ya [[afyuni]] na [[heroini]] yanayotumiwa pia kama madawa ya tiba hasa kwa kutuliza maumivu makali.
 
Mbegu hutumiwa kwa kutoa mafuta pia kama chakula ukichanganywa ndani ya keki na mikate.