Sifuri halisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Kwenye kiwango cha sifuri halisi hakuna mwendo wa mada au molekuli tena. Sababu yake ni ya kwamba halijoto yenyewe kifizikia ni uso mwingine wa mwendo wa mada yaani mwendo wa molekuli na atomi.
 
Katika hali ya kawaida molekuli za hewa au za kiowevu huwa na mwendo; pia molekuli za gimba mango huwa na mwendo fulani kama kitisiko. Kama mwendo = halijoto inaongezeka tunaona badiliko la gimba mango kuwa kiowevu au gesi. Kinyume chake tunaona jinsi gani [[maji]] "baridi" huwa [[barafu]] imara maana yake mwendo wa molekuli za H<sub>2</sub>0 imepungua . Pasipo na mwendo tena hakuna joto wala halijoto na hali hii huitwa "sifuri halisi".
 
Hali hii inasababisha kutokea kwa mambo yasiyo kawaida. Kwa mfano uwezo wa [[metali]] wa kupitisha umeme unaongezeka sana kadiri jinsi metali inavyokaribia sifuri halisi.