Bernardino wa Siena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'right|thumb|250px|[[Pinturicchio (1486), ''Utukufu wa Mt. Bernardino da Siena'', Roma, kanisa la Santa Maria in Aracoeli]] '''Bernardino w…'
 
No edit summary
Mstari 9:
==Wito na utume==
 
Akiwa na miaka 22, alijiunga na [[utawa]], halafukatika tawi la [[urekebisho]] wa [[Waobservanti]], ambalo akawa nguzo yake kuu, pamoja na [[Yohane wa Kapestrano]], [[Yakobo wa Marka]] na [[Alberto wa Sarteano]].

Kisha akaanza [[utume]] mkubwa akihubiri kwa mafanikio katika [[Italia Kaskazini]]. Kazi yake yaliamsha katika [[Kanisa]] [[imani]] na [[ibada]] kwa [[Jina la Yesu]] na kurekebisha [[maadili]] ya wengi. Ndiye aliyesambaza kila mahali vibao vyenye kifupisho [[IHS|JHS]] (''Jesus Hominum Salvator'') kikiwa na [[msalaba]] juu yake na kuzungukwa na [[jua]] lenye miali 12.
 
==Kifo==
 
Alifariki huko [[L'Aquila]], tarehe 20 Mei 1444.
Line 15 ⟶ 19:
== Heshima baada ya kifo ==
 
Kutokana na sifa yake kubwa, alitangazwa [[mtakatifu]] na [[Papa NicolausNikolasi V]] mwaka [[1450]]. Kumbukumbu yake inaadhimishwa kila tarehe [[20 Mei]].