Yukon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'thumb|right|Yukon ndani ya Kanada thumb|right|Bendera ya Yukon '''Yukon''' ni eneo kubwa la Kanada upande wa magharibi…'
 
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Image:Yukon, Canada.svg|thumb|right|Yukon ndani ya Kanada]]
[[Image:Flag of Yukon.svg|thumb|right|Bendera ya Yukon]]
'''Yukon''' ni eneo kubwa la [[Kanada]] upande wa magharibi ya nchi. Imepakana na [[Marekani]] ([[Alaska]]) upande wa magharibi, [[Northwest TerritoryTerritories]] upande wa mashariki na [[British Kolumbia]] upande wa kusini. Ina pwani fupi na [[Bahari ya Aktika]]. Sehemu kubwa ya eneo lake ni misitu tu.
 
Yukon lina wakazi wapatao 33,442 (2009) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 482,443.