Korintho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
mbegu-jio-Ulaya
Mstari 13:
Mji uliharibiwa kabisa na Waroma mwaka [[146 KK]] na kuundwa upya na [[Julius Caesar]] mwaka [[44 KK]] kama koloni ya Kiroma. Ulikua haraka na kuwa na mchanganyiko wa watu kutoka Italia, Ugiriki na Wayahudi. Wakati [[Paulo wa Tarso]] alipofika mwaka [[51]]/[[52]] (taz. [[Mdo.]] 18:1-18) alikutana na [[Aquila na Priscilla]] na kuunda ushirika wa kikristo pamoja nao. Alirudi tena mwaka [[58]] akikaa miezi mitatu. Kunauwezekano ya kwamba [[Waraka kwa Waroma]] uliandikwa hapa.
 
{{stubmbegu-jio-Ulaya}}
 
[[Category:Miji ya Ugiriki]]