Chiapas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
lugha
dNo edit summary
Mstari 1:
[[image:Mexico stateflags Chiapas.png|thumb|Bendera ya Chiapas]]
[[image:Mexico map, MX-CHP.svg|thumb|Mahali pa Chiapas katika [[Mexiko]]]]
'''Chiapas''' (jina rasmi: ''Estado Libre y Soberano de Chiapas''; [[Kiswahili]]: dola huru la kujitawala la Chiapas) ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexiko]]. Ni jimbo kwenye ncha ya kusini ya nchi. Mji mkuu ni [[Tuxtla Gutiérrez, Chiapas|Tuxtla Gutiérrez]] na mji mkubwa ni [[Tapachula, Chiapas|Tapachula]].
 
Imepakana na [[Oaxaca (jimbo)|Oaxaca]], [[Tabasco (jimbo)|Tabasco]], [[Veracruz (jimbo)|Veracruz]] na nchi ya [[Guatemala]]. Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 4,293,459. Eneo la jimbo ni 74,211 [[Kilomita ya mraba|km²]].