Vita Kuu ya Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Jina hili limepatikana tangu mwanzo wa karne ya 20 katika miaka kabla ya Vita Kuu ya Kwanza ilipoonekana ya kwamba vita ikianzishwa ingehusu sehemu kubwa ya dunia kutokana na mapatano kati ya mataifa makubwa ya [[Ulaya]] yaliyotawala nchi nyingi duniani chini ya mfumo wa [[ukoloni]].
 
Wanahistoria wengine hudai ya kwamba hali halisi vita kuu ya kwanza ilizohusu dunia yote ilikuwa [[vita ya miaka saba]] (1756-1763) kati ya [[Uingereza]] na madola ya Kijerumani ya [[Uprusi]] na [[Hannover]] dhidi ya [[Ufaransa]], [[Urusi]], [[Austria]], [[Sweden]], [[Saksonia]] na [[Hispania]]. Mapigano yalitokea [[Ulaya]], [[Amerika ya Kaskazini]], [[Visiwa vya Karibi]], [[India]], [[Asia]] ya Mashariki, [[Afrika]] na baharini kote duniani.
 
==Viungo vya nje==