Bukoba (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Bukoba''' ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 81,221 [http://www.tanzania.go.tz...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:11, 1 Desemba 2006

Bukoba ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 81,221 [1].