They Don't Care About Us : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox Single | Jina = They Don't Care About Us | Cover = Mjtdcau.jpg | Msanii = Michael Jackson | Albamu = HIStory: Past, Present and Future, Book I | Imetolewa = Ap...'
 
No edit summary
Mstari 17:
| Misc =
}}
 
"'''They Don't Care About Us'''" ni single ya nne kutoka katika albamu ya [[Michael Jackson]], ''[[HIStory]]''. Wimbo huu umebaki kuwa kama moja kati ya nyimbo za Jackson zenye nong'ngono kuliko zile zote alizotunga hapo awali. Nchini Marekani, vyombo vya habari vya nchnii humo vilianza upekuzi usiyo rasmi juu ya mashairi yaliyomo kwenye wimbo huu na kudai kwamba unaonyesha dhahili kupingana na sera za Kiyahudi ilhali siyo kweli na wala hakuzungumzia masuala hayo.