Kayseri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho dogo tu...
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kayseri districts.png|thumb|300px|right|Metropolitan ya Wilaya za Kayseri.]]
'''Kayseri''' ni mji uliopo katikati ya nchi ya [[Uturuki]]. Mji huu wa Kayseri umezoeleka kuitwa Mazaka au Kaisareia. Huu ni mji mkuu wa [[Mkoa waawa Kayseri]]. Mji unakadiriwa kuwa na lundiko la watu takriban milioni 1. Mji upo mita 1,050 kutoka [[juu ya usawa wa bahari]].