Tamthilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d alihamisha Tamthiliya kwenda Tamthilia kwa kutengeneza elekezo: Jinsi ya kuandika mara nyingi ni bila 'y'.
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Honoré Daumier 026.jpg|right|thumb|400px|Mchoro unaonyesha namna ya watu wanavyocheza mchezotamthilia.]]
'''TamhiliyaTamhilia''' (pia: '''Tamthiliya''' au '''Tamthilia-Mchezo''') ni moja kati ya sehemu ya utunzi wa hadithi au fasihi simulizi (ngano au hadithi) ambayo mara nyingi tunaona kupitia katika makumbi au [[televisheni]], kusikia kupitia katika [[redio]].
 
TamthiliyaTamthilia au mchezo mara nyingi huwa mazunguzo baina ya watu, na kwa kawaida huwa mchezo hatuutizami katika TV tu, bali hata kuna watu wengine hufuatilia kwa kupitia maandiko yenye tamthiliya hizo na kuzielewa vyema.
 
Watu tunaowaona wanafanya tamthilia ni [[mwigizaji|waigizaji]]; katika ukumbi wa maonyesho husimama juu ya [[jukwaa]] na kuanza kutoa burudani huku watu wakiwaangalia (watazamaji) wanaweza wakawaona vyema kabisa.
Mstari 19:
 
 
[[Category:Tamthilia|*]]
 
 
 
 
[[Category:Tamthilia]]
[[Category:Maigizo]]
[[Category:Fasihi]]