Bambi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
jamii
kiungo kwenda Walt_Disney_Animated_Classics...
Mstari 17:
}}
 
'''''Bambi''''' ni filamu ya [[katuni]] iliyotolewa mwaka wa 1942. Filamu ilitayarishwa na [[Walt Disney]], na kutolewa kwenye makumbi mnamo tar. 13 agosti, 1942 na Walt Disney Pictures. Hii ni ya 5 kutolewa kwa mujibu wa [[Walt_Disney_Animated_Classics|orodha ya filamu za katuni za Walt Disney]]. Filamu inatokana na kitabu cha Felix Salten chenye jina sawa na hili la filamu hii.
 
== Washiriki ==