Content deleted Content added
→‎14,000: mjadala mpya
Mstari 155:
 
Hi there! I would like to inform you that our Wikipedia has reached over the 14,000 articles! I hereby thanking you for your contributions... I expect to see many other contributions from you. I wish you nothing, but the best! Yours,--<span class="handtekening_lang">[[Image:Flag of Tanzania.svg|20px|Muddyb]] </span><font face="Verdana">[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="green"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Arial">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sup><big>'''Longa'''</big></sup></font>]]</span></small></font></font color></font face="arial"> 14:35, 11 Septemba 2009 (UTC)
 
== mradi wa Google kwa ajili ya wikipedia yetu ==
 
Ndugu Flowerparty, salaam!
</br>Nimepata mawasiliano kutoka Christine Moon huko Palo Alto, California. Yeye anafanya kazi kwa shirika la Google, nao wameanza kupanga mradi au huduma kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Kenya ili waelimishwe kuandika makala kwa wikipedia ya Kiswahili. Kumbe!
</br>Christine sasa ametualika kumwandikia maoni yetu, angalia tovuti hiyo:
</br>http://docs.google.com/Doc?docid=0AbIPJ9Nv6udZZGd6MndwcGdfMzFkODNzOG0zYw&hl=en
</br>Bahati mbaya yeye haelewi Kiswahili, kwa hiyo itakuwa lazima kumwandikia kwa Kiingereza. Ukihitaji msaada wangu upande wa kumwandikia, karibu unijulishe. Asante kwa michango yako!
</br>Ni wako katika ujenzi wa lugha yetu,
--'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 08:01, 10 Oktoba 2009 (UTC)