Mkoa wa Rukwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Viungo vya nje: mbegu-jio-rukwa using AWB
d roboti Badiliko: es:Región de Rukwa; cosmetic changes
Mstari 1:
[[Picha:Rukwa Mkoa.png|thumb|300px|Mkoa wa Rukwa]]
[[ImagePicha:Tanzania Rukwa.png|thumb|150px|Mkoa wa Rukwa katika Tanzania]]
 
'''Rukwa''' ni moja kati ya mikoa 26 za [[Tanzania]]. Inapakana na mikoa ya [[Mkoa wa Kigoma|Kigoma]] na [[Mkoa wa Tabora|Tabora]] upande wa Kaskazini, [[mkoa wa Mbeya]] upande wa mashariki, [[Zambia]] kusini na upande wa magharibi [[Ziwa la Tanganyika]] lililo mpaka na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Kongo]] pia. Makao makuu ya mkoa ni [[Sumbawanga (mji)|Sumbawanga]].
Mstari 6:
Eneo la mkoa ni takriban 70,000 km². Kusini mwa mkoa liko [[ziwa la Rukwa]] ambalo ni kati maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki.
 
=== Wilayaa ===
Wilaya nne ndizo (idadi ya wakazi katika mabano): [[Sumbawanga Mjini]] (147,483), [[Sumbawanga Vijijini]] (373,080), [[Mpanda]] (412,683) na [[Nkansi]] (208,497).
 
=== Wakazi ===
Kuna wakazi 1,141,743 (sensa 2002).
 
Kabila kuwba zaidi mkoani ndio [[Wafipa]] walioko hasa katika wilaya za Sumbawanga na Nkansi. Kati ya makabila mengine ni [[Wabende]], [[Wapimbwe]], Warungwa na Wakonongo katika wilaya ya Mpanda; Wamambwe-Lungu, Wawanda na [[Wanyamwanga]] katika wilaya ya Sumbawanga; kuna pia [[Wasukuma]], [[Wanyamwezi]] na [[Wamassai]].
 
== Viungo vya nje ==
Matokeo ya sensa 2002: en [http://www.tanzania.go.tz/census/census/rukwa.htm]
 
Mstari 24:
[[Jamii:Mikoa ya Tanzania|R]]
[[Jamii:Mkoa wa Rukwa| ]]
 
 
[[bg:Руква (регион)]]
Line 30 ⟶ 29:
[[en:Rukwa Region]]
[[eo:Regiono Rukwa]]
[[es:Región de Rukwa]]
[[fr:Rukwa]]
[[hr:Rukwa]]