Britania : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
mbegu-jio-Ulaya |
No edit summary |
||
Mstari 8:
Jina la Britania limetokana na [[Dola la Roma|Waroma wa Kale]] waliovamia kisiwa na kufanya sehemu ya kusini kuwa jimbo la dola lao. Jimbo la [[Britania ya Kiroma]] liliunganisha nchi za Uingereza na Welisi za leo.
Kisiwa chote ni sehemu ya [[Ufalme wa Muungano]] unaoitwa mara nyingi "Uingereza" kutokana na nchi kubwa ndani yake. Lakini ufalme huu ni kubwa kushinda Britania, uko pamoja na [[
Visiwa katika mfereji wa Kiingereza na kisiwa cha Isle of Man viko chini ya malkia au mfalme wa Uingereza lakini si sehemu za Ufalme wa Muungano.
|