Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)"

no edit summary
 
==Muhtasari wa kuhariri==
[[Picha:kuhariri-muhtasari.PNG|thumb|right|650px450px|Kitufe cha "Onyesha hakikisho la mabadiliko" kipo upande wa kulia baada ya kitufe cha "hifadhi kurasa" na chini yake ni uga ya "kuhariri muhtasari.]]
Kabla hujagonga '''Hifadhi kurasa''', huhesabiwa kama adabu nzuri (au "Miiko ya Kiwiki") kuingiza maelezo ya busara ya ulichobadilisha kwenye sanduku la '''Muhtasari wa kuhariri''' ambacho kipo baina ya dirisha la kuhariria na kitufe cha '''Hifadhi kurasa''' na '''Onyesha haikikisho la mabadiliko'''. Inaweza kuwa kifupi sana; kwa mfano kama unaingiza neno "typo", watu watajua kama umefanya masahihisho ya tahajia. Pia, iwapo mabadiliko uliyoyafanya kwenye kurasa yalikuwa madogo, kama vile kusahihisha tahajia na makosa ya kisarufi, kuwa makini kutazama kisanduku cha "Haya ni mabadiliko madogo" (hii inapatikana ukiwa umeingia kwenye akaunti yako tu, basi).
 
{{-}}
<div style="float:left; align:left; margin-top: -1.5em; background-color: #f5faff; padding: .2em .6em; font-size: 130%; border: 1px solid #cee0f2;">'''Hebu jaribuJaribu kuhariri kwenyekatika [[Wikipedia:Ukufunzi (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]]'''</div>
<noinclude>
<div style="float:right; margin-top: 0.0em; margin-bottom:3px; background-color: #cee0f2; padding: .2em .6em; font-size: 130%; border: 1px solid #a3b1bf;">'''Endelea ukufunzi na [[Wikipedia:Ukufunzi (Muundo)|Muundo]]''' <span style="font-size: larger; font-weight: bold;">→</span></div>