Injini ya mvuke : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: simple:Steam engine
tahajia
Mstari 1:
[[Image:Steam engine in action.gif|thumb|right|350px|Muundo wa injini ya mvuke

*'''Mshale nyekundumwekundu:''' mvuke kutoka jiko unaingia hapa katika chumba cha mvuke

*'''Kilango cha nje:''' inasogezwa mbele na nyuma na kufungua au kufunga nafasi mbili ambako mvuke unaingia katika silinda upande wa kulia au kushoto ya pistoni

*'''Pistoni''' inasukumwa mbele na nyuma na mvuke unavyoingizwa katika pande mbili za silinda

*'''Mwendo wa pistinipistoni''' kupitia '''konrodi''' na '''fitokombo''' inazungusha gurudumo tegemeo

*'''gurudumo tegemeo''' ni kubwa na nzito na mwendo wake unasukuma kilango cha nje

*mwendo wa gurudumo tegemeo unapelekwa pale unapotakiwa kwa njia ya '''mkanda'''

'''Injini ya mvuke''' ni [[injini]] inayotumia nguvu ya mvuke kwa kufanya kazi. Nguvu ya mvuke ni nishati ya joto iliyomo ndani yake. Nishati hii inabadilishwa kuwa mwendo.