Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kurasa za majadiliano)"

no edit summary
(Created page with '{{Wikipedia:Tutorial/TabsHeader|This=6}} <div style="border:2px solid #A3B1BF; padding:.5em 1em 1em 1em; border-top:none; background-color:#fff; color:#000"> {{TOCright}} Kila ma...')
 
<div style="border:2px solid #A3B1BF; padding:.5em 1em 1em 1em; border-top:none; background-color:#fff; color:#000">
{{TOCright}}
[[File:Tutorial_de_artikel_diskussion.gif|thumb|250px|Mfano huu ]]
Kila makala ya wikipedia huwa na "Ukurasa wa Majadiliano". Hii ni sehemu muhimu ya mradi huu na msaada mkubwa wa kuelewana kati ya wanawikipedia na kwa kuboresha makala.
 
==Ukurasawa majadiliano wa makala==
Hapa ni mahali pa kuweka maswali, mapndekezo au maonomaoni juu ya makala - si ndani ya makala!!
 
== Ukurasa wa majadiliano wa watumiaji ==
Sio kila makala tu hata kila mtumiaji huwa na ukuirasaukurasa wa majadiliano.
Hapa unaweza kuacha ujumbe kwa mtuiaji mwingine.
 
Kama mtu ameache ujumbe kwenye ukurasa wako utaona sanduku lenye manano ya kutangaza ujumbe mpya kwako kila ukiingia wikipedia kwa jina lako.
 
Kuna njia mbili za kujibu ama kwenye ukurasa wako ulipopata swali la mtu mwingine au kwenye ukurasa wake.
Ukijibu kwake ataiona akijisajili tena.
 
==Kupanga maandishi yako kwenye kurasa za majadiliano==
Unaingia kwa kubofya alama ya "majadiliano" juu ya ukurasa wa uhariri. Usijali kama rangi yake ni nyekundu maana hakuna aliyefungua ukurasa huu na wewe utakuwa mchangiaji wa kwanza.
 
Ukikuta maandishi tayari weka maandishi yako chini yale yaliyotangulia. IsipokuwaKama ukimjibuunaanzisha mtumada mojamapya kwani mojavema basi uweke jibu lako chini yake lakini utumie alama mwanzoni mwakuingiza mstari :wa kichwa aucha ::ndani kwa au ::: kupanga yako kama jibu.mfano
::<nowiki>==Msaada wa makala baobonye==</nowiki>
::Salaam nimeona wewe ni mtaalamu wa kompyuta naomba usaidie makala ya baobonye.
 
Unatakiwa kutia sahihi chini ya jibu lako ama kwa kuandika <tt><nowiki>~~~~</nowiki></tt> au kubofya alama ya 10 katika menyu ya ukurasa wa uhariri.
 
Si lazima lakini unashauriwa kujiandikisha kwanza kwa jina fulani. Hii haileti gharamgharama kwako lakini utajulikana zaidi inasaidi mawasiliano.
 
== Kujongeza ndani ==
== Ukurasa wa majadiliano wa watumiaji ==
Ukiingia katika majadiliano na majibu ni vema kutofautisha michango kwa kujongeza ndani. Kawaida ni kujongeza kila jibu hatua moja. Hii inaendelea hatua moja-moja hadi nafasi ya jibu imekuwa nyembamba mno halafu kurudi mbele tena.
Sio kila makala hata kila mtumiaji huwa na ukuirasa wa majadiliano.
Hapa unaweza kuacha ujumbe kwa mtuiaji mwingine.
 
Unajongeza maandishi yako ndani kwa kuandika alama ya [[nukta pacha]] (<tt>:</tt>) kwenye nafasi ya kwanza ya mstari na kuandika baadaye. Nukta pacha 2,3,4 zinasukuma maandishi ndani zaidi. Ukianzisha mstari mpya au kuweka alama ya <nowiki> </nowiki> inamaliza kujongeza ndani. Ukitaka kutumia ibara ndani ya mchango wako unahitaji kurudia nukta pacha mwanzoni wa ibara mpya sawa na ibara ya kwanza.
Kama mtu ameache ujumbe kwenye ukurasa wako utaona sanduku lenye manano ya kutangaza ujumbe mpya kwako kila ukiingia wikipedia kwa jina lako.
 
Mfano:
Kuna njia mbili za kujibu ama kwenye ukurasa wako ulipopata swali la mtu mwingine au kwenye ukurasa wake.
: <tt>Mstari huu haukujongezwa ndani.</tt>
Ukijibu kwake ataiona akijisajili tena.
: <tt><nowiki>: </nowiki>Nukta pacha inasababisha kujongezwa ndani</tt>
: <tt><nowiki>:: </nowiki>Mstari huu umejongezwa ndani hatua 2 kwa kutumia nukta pacha 2</tt>
itaonekana vile:
Mstari huu haukujongezwa ndani.
:: Nukta pacha inasababisha kujongezwa ndani.
:: Mstari huu umejongezwa ndani hatua 2 kwa kutumia nukta pacha 2
 
===Alama nene kwa orodha===
Ukiandika orodha unaweza kutofautisha mistari kwa alama nene kwa kutumia alama ya [[kinyota]] (<tt>*</tt>) mwanzoni. Kuweka kinyota mara mbili inajongeza mstari ndani pia.
 
Mfano:
: <tt><nowiki>* </nowiki>Mstari wa kwanza</tt>
: <tt><nowiki>* </nowiki>Mstari wa pili</tt>
: <tt><nowiki>** </nowiki>Kifungo cha chini cha mstari wa pili</tt>
: <tt><nowiki>* </nowiki>Mstari wa tatu</tt>
itaonekana hivyo:
:* Mstari wa kwanza
:* Mstari wa pili
:** kifungo cha chini ya mstari wa pili
:* Mstari wa tatu
 
=== Orodha yenye namba ===
Orodha yenye namba mfululizo unapata kwa kutumia alama hii: (<tt>#</tt>). Hata hapa unaweza kutumia alama mbili kwa kuonyesha mistari za ndani.
 
Mfano:
: <tt><nowiki># </nowiki>Jambo la kwanza</tt>
: <tt><nowiki># </nowiki>Jambo la pili</tt>
: <tt><nowiki>## </nowiki>Nyongeza chini ya jambo la pili</tt>
: <tt><nowiki># </nowiki>Jambo la tatu</tt>
 
itaonekana vile:
:# Jambo la kwanza
:# Jambo la pili
:## Nyongeza chini ya jambo la pili
:# Jambo la tatu